Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

Widget HTML #1

[Download] "Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi" by F. Wayne Mac Leod # Book PDF Kindle ePub Free

Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi
  • Author : F. Wayne Mac Leod
  • Release Date : January 17, 2015
  • Genre: Bible Studies,Books,Religion & Spirituality,
  • Pages : * pages
  • Size : 205 KB

Description

Hatuwezi kuepuka kabisa matatizo yanayotokea kati ya mshirika na mshirika kama inavyokuwa kati ya watoto wetu katika familia. Bwana Yesu alijua ya kuwa mgongano hauna budi kutokea ndiyo maana akatoa namna ya kukabiliana nayo katika maadiko. Kwa umuhimu wa pekee kabisa katika maandiko kutoka Mathayo 18:15-17. Kifungu hiki kinatuonyesha jinsi ya kukabiliana na matatizo baina ya muumini na muumini. Vinatoa jinsi iliyosalama katika kumrejesha ndugu aliyeanguka na kuwatia moyo washirika wa kawaida, ili kutilia maanani suala la kuwarejesha na kuwasaidia ndugu walioanguka ili kuwatia moyo katika wakati wao wa udhaifu.

Kitabu hiki kinachunguza mafundisho ya Yesh katika somo hili no kutuonyesha jinsi tunavyowesa kuyatumia katika misukosuko mbalimbali tunayokutana nayo.


Free Books Download "Kama Ndugu Yako Akitenda Dhambi" PDF ePub Kindle